Apostle Joel Angle upande wa kushoto Akiwa na Askofu Mkuu wa Agape Ministries International Africa, Askofu Bwambale Wilson Wakicheza Wimbo Wa Boni Mwaitege(Zunguka) mbele ya Madhabahu Ya Kanisa La Agape Ambalo linaongozwa na Askofu Mkuu wa Tanzania Askofu Martin W.Gwila, Makao Makuu Meserani Mkoani Arusha katika Hafla ya Sherehe ya watoto Pamoja na Wafadhili Wa Kanisa na Taasisi ya Agape Kutoka Brazili kanisani hapo,
|
No comments