wamasai Selela Arusha ASKOFU MKUU NA WANA WA AGAPE Baba askofu willison martin Gwila amewashukuru jamii .ya kimaasai selela mtwaumbu wilaya ya monduli mkoani Arusha kwa kuwapatia arthi yenye ukubwa wa hekari 52 kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya miradi ya Agape
No comments